talkers

mko zaidi ya 115 online na hakuna kitu munapost?NYINYI NI MANUGU TU

Nugu ino!

wewe umepost nini apart from hii ujinga?

bucha man uko na mutura ya elephant? hio tu ndio inaeza nimaliza njaa ya mjengo

1 Like

si at least hii ujinga imekuamusha

nugu jinga kabisa

Niaje shemeji?

wewe unapost nini …matumbo wewe

utakula ngarango?

1 Like

Slow monday itina riri, kaa hakuna kitu ya maana hatuezi weka upus,
serre, kimbu wewe

3 Likes

I am not gay. Ushindwe kabisa shoga hii!

ni poa shemeji

wacha nikuitie @junkie ama @Jirani wakukamue utulie

1 Like

:eek:
unko swallow saliva si umecatch kama keeper

bora ni ya elephant

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

huku wanawake wote walinikataa,si uwe rafiki yangu?

Wacha kuni mention ovyo ovyo mungiki chokosh

nimesikia,enda ukakamue bibi yako @junkie

1 Like

Zingine ni ma robot za admin ziko online.