TANZANIA LIBERATION MOVEMENT

http://www.liberatetanzania.com/tlm_003.htm

Tunakoelekea si kuzuri. Watawala Tujitafakari tuepushe yajayo

Sina uhakika endapo Bunge lijalo September watakuwa na ujasiri karipia kauli za zarau za mkuu kwa muhimili wa Bunge.Nampongeza sana Mh. Jaji mkuu mstaafu Samata na wachache waluotumia fursa vema kusemea Watanzania na Taifa.

Mpaka watuambie nguvu waliyonayo, kwamba wao wanakuwa nguvu Kubwa kuliko Rais na mwenyekiti wao wa chama, lakini kama hawataliona hilo bunge litaendelea kuzarauliwa.