Tanzania Mambo ni Swafi

Korona kaput

:D:D

Corona with a “k”…

:D:D

These guyz don’t give a Fck

I support them. Corona is a scam

Lakini wasee Brazil wanakufa vizii man…sijui TZ wanaescape kifo aje.

It’s in Swahili, just like all the other signs in that joint. Haujaona sign ya “vyooni”?

I like their attitude

Korona amejuta kuja tz kwanza kapigwa nyungu za kutosha mwisho kamaliziwa na maombi sasa hivi ni pati to pate

Mbona unaenda TZ kwani hapa home umeskia kuna mass graves??

Well we have not peaked, according to prophet Amoth. Walisema August/September ndio mtaanza kulia.

:D:D:D:D mafala walianza kutuambia ivyo since March.

Hii korona naona nikama ya walami, Uhunye wacha watu wajiachilie

I was also of the opinion Corona issa scam but vile Brazil wamechapwa nayo imebidi nichukuwe hii kitu with the seriousness it deserves.

Hoyeeee Mfalme Magufuli korona ni propaganda ya wabeberu kupora rasilmali ya nchi.

Bro hamuamini kama wabongo tunadunda mpaka leo na hatukufuata masharti yeyote.Mlitarajia tutakufa kama italy…Roho najua zinawauma na kujiona mmekuwa mazwazwa wa kuiga wazungu sio…
Makanisa na misikiti haikufungwa,masokoni nako kama kawaida tu,mikusanyiko ruksa,shule tushafungua,michezo kama kawaida na watu wanajaa uwanjani,kuvaa barakoa sio lazma,Mikopo ya wazungu tulikaa labda hizo ela wasamehee madeni ya nyuma watuache tutatumia ela zetu wenyewe…Basi mkionaga hivi najua roho zinawauma kwnn awa watu corona haiwapigi km mlivotatajia.

Fox21

Hii dhana ya kijinga kuwa Wakenya hatuwatakii Watanzania lolote la kheri sijui uliitoa wapi.

Jamaa anampongeza “Mfalme Magufuli” lakini wewe huoni hilo. Unang’ang’ana kufoka mambo ya kijinga.

There is something we do not know about this infection, Africans seems resistant. Could be people in other countries are dying of something else, maybe someone is sneaking in something else and it will be thought to be the usual corona. Something is not right, could it be the number of deaths reported are not true, for instance, If one happens to die today of malaria and you happen to have corona flu the cause of the death will be reported as corona.

Kenya tunaji-waste, those experts advising Uhuru should be kicked out the payroll if they continue to insist on locking Kenyans down…