• Happy New Year, and Wishing You A Productive 2021

Tanzania: NAKUMAT Mlimani City shop Imefungwa kutokana kushindwa kulipa malipo ya Pango

Troll

Village Elder
#1
Uongozi wa Mlimani City imeifunga Supermarket ya Nakumatt Tawi la Mlimani City Jijini Dar es Salaam kutokana na kutotimiza majukumu yake kama mlipakodi wa jengo hilo hivyo kurudisha nyuma upatikanaji wa Mapato.

Meneja Mkuu wa Mlimani City, Pastory Mrosso amesema wamechukua hatua hiyo baada ya uongozi wa Supermarket kutotekeleza wajibu wake kama mpangaji.

Wafanyakazi wa Nakumatt wameonekana wakiwa nje ya supermarket hiyo baada ya kukuta imefungwa bila taarifa huku wakisema bado wanadai stahiki zaoMy Take:
Kwa Hali ninayoiona Hapa Tanzania Nakumatt naona Ime undergo Bankruptcy.

Symptoms of Insolvency/Bankruptcy
-Fail to pay obligations as they fall due
-Failure to pay workers Salaries
-Failure to pay Statutory payments (Corporate Tax).
-Failure to pay debts.

Nasikitika Kusema NAKUMATT Tanzania Imefilisika Kutokana Na Ushindani Mkubwa kwa Sasa wa Supermarkets na NAKUMATT zinaonekana ni Supermarket Ndogo kwa Sasa.

Rest in Peace.
 
Last edited:

Jennifer

Village Elder
#14
Nakumatt pulled crown to malls. Malls are deserted now. A good example is TRM where most shops have closed down e.g. Woolworths, due to low sales.
 

Top