Tanzania: Political Stability Attracts French Investors

FRENCH Ambassador in Tanzania, Frédéric Clavier

FRENCH Ambassador in Tanzania, Frédéric Clavier, has assured Tanzanians that his country is fully committed to continuing investing in the country’s big projects, due to the current political stability and flourishing economy.

https://dailynews.co.tz/index.php/home-news/57315-political-stability-attracts-french-investors

http://allafrica.com/stories/201804190724.html

[MEDIA=twitter]987584286172876802[/MEDIA]

1.5 trillion lost in the ACT report. Magufuli started well and am sure he had very good intentions for the country.
then he appointed illiterate and unworthy people to key govt posts and thats his biggest undoing.

Nchi inaendeshwa kwa kiki as they put it now…

Hakuna kitu kama hicho rafiki

Sikiliza taarifa sahihi. Sisi TZ hatuongozi na umbea na uongo.
Report ya CAG huwa inajadiliwa na kamati ya bunge ya PAC na mjadala wa Report ya CAG sasa hivi upo bungeni.
Huyo jamaa wa ACT anatafuta publicity kwa kutumia uongo. Tayari maelezo yameshatolewa na anaweza akachukuliwa hatua kwa kuongea uongo na kuudanganya umma

https://www.youtube.com/watch?v=NAiP5h7-H5g

a quote from zitto -

CAG kaeleza hili hapa kwenye Taarifa yake. Hesabu hizo hapo. Hata siku moja mkaguzi hasemi ‘ zimeibiwa ‘ sio kazi yake. Mkaguzi anaonyesha alichoona na mwenye fedha ndio anahoji. Kumwuliza CAG ‘ Eti hela zimeibiwa?’ Ni spinning ( hadaa). Ni kweli hajasema zimeibwa. ZIPO WAPI?

Ripoti ya CAG ilitoka serikalini na ikabainika 1.5 trillioni hazipo au matumizi yake hayaja nukuliwa. Upinzani, kupitia zitto kabwe walipopaza sauti ndio wana ccm wakaingiza siasa. Numbers dont lie.

wakati unakuja kujipiga kifua hapa,maovu ya tanzania yapo wazi kabisa lakini umeyafumbia macho.Au unadhani kuwachwa uposti na kutojibiwa ndio kuhakiki? Labda tumuulize tundu lisu au wana kibiti?

Nchi munaipeleka kiswahili kabisa na fungia fungia ambazo hazina maana. Viongozi wamefeki vyeti mwisho wake maamuzi wanayatoa feki pia.

Sasa wewe unalazimisha unaelewa nini sasa? Ninajaribu kukuelekeza. Hivi umeisoma hiyo report ya CAG?
Nimekuelezwa report ya CAG huwa inajadiliwa na kwenye kamati ya PAC. Bado hawajaanza kujadili hiyo report. Anachokifanya Zitto ni publicity kwa sababu chama chake amebaki pekee yake. Wote wamemkimbia.
Hana lolote, Amesema uongo kwenye public. Na kwa sababu ameongea hayo akiwa nje ya bunge hana kinga ya bunge anaweza kufikishwa mahakamani ili atoe ushahidi wa hicho.

Shida yenu munaambulia vitisho…kuhoji matumizi ya fedha za umma ni wajibu wa kila mwananchi…ila mkuu hataki kukosolewa wala kuambiwa. Nchi haipelekwi hivyo.

Nimeanza na kukwambia jinsi magufuli ana nia safi katika awamu yake lkn aliowapa majukumu wanamuangisha pakubwa na kumpotezea. Kuna mifano mingi tu ya maamuzi ya kifala yanayotolewa na walio chini yake na yeye anayapuuzia pasipo kujua yanaathiri hatamu yake pakubwa.

Check out @halimamdee’s Tweet: https://twitter.com/halimamdee/status/987631344137236480?s=09

Rafiki kama nchi yenu haina utaratibu basi ni nchi yenu. Sisi nchi yetu inautaratibu. Kila kitu kinaenda kwa utaratibu. Usitake kenya ifanane na Tanzania.
Nchi yetu haiendeshwi kwa kauli za kwenye mitandao. Nimekueleza utaratibu wa kujadili Report ya CAG ni kwa kupitia kamati ya PAC. Zitto naye ni mbunge ikifika muda wa kujadili atatoa maoni yake. Lakini hatuwezi kuruhusu upotoshaji wa aina yoyote.
Hakuna sehemu yoyote Report inesema hayo anayoyasema Zitto. So usilazimishe tufanane okay!!

Sasa hayo ni maoni yake ya kisiasa. Muda wa kujadili Report utafika watajadili. Maana hayo ni maneno yake yeye Halima Mdee kama mbunge wa CHADEMA. Ndiyo maana tunasema Tanzania ipo na freedom kubwa kuliko kenya. Lakini hatutaki mtu adanganye.

Tupatie progress report ya SGR Tanzania, imekuwa muda haujaiongelea. Bado mwajenga na cash ama mumeitisha loan?

nanda kwenye Channel ya TRC RELI TV you tube.

https://www.youtube.com/watch?v=BZm4aYcxNpU

Sasa umeamua ulete jokes sio?? Unataka kucompare Media freedom in kenya na tanzania? Hebu nitolee nzi hapa.

Magufuli nchi imenyoosha? Endesheni nchi kama munavyoendesha zizi la ng’ombe au kamati ya waganga wa kienyeji. I call ur b.s and you know it.

Utaumia sana. Sisi tunasonga mbele. Utatafuta sana mabaya ya TZ. Tanzania ni nchi yetu. Acheni wivu wa kijinga jitambueni.