Tanzania: Talks on China-linked Sh7tr cement, electricity project enter crucial stage

http://www.thecitizen.co.tz/image/view/-/4268128/highRes/1861535/-/maxw/600/-/aupo7dz/-/Electricity+pic.jpg

[ATTACH=full]151483[/ATTACH]
http://www.thecitizen.co.tz/News/Discussions-enter-crucial-stage/1840340-4268116-abrp5hz/index.html

@KeleleZa Chura

Tell about the investigation into “watu wasiojulikana”. Mmefika wapi ?

Maghufuli is really trying…I hope he succeeds and he will be able to push Tz forward.

Those are security issues, we don’t put in public. We are socialist country, umesahau?

Hamia huko.

Wacha wivu msee…wewe unakaa wale wasee when your friend or neighbor succeeds you get so jealous and wish them ill.

Unaingia TZ, ila VISA muhimu sana. Unatakiwa ueleze umekuja kama mtalii au vipi na unakaa muda gani. Ukitaka kuwa raia wa TZ unatakiwa kuukana uraia wa Kenya. Hatuna dual citizenship TZ.

what does that really mean?
Alafu let me ask…are you guys allowed to demonstrate and picket ? Does your Katiba allow that? for instance can the nurses wake up tomorrow and hit the streets?

Lakini madze serikali yenu iko very paranoid.Nime tembea pale Moshi mitaa ya Adams,baada ya siku mbili jamaa wawili waka kuja kwa guest house yangu waka piga operation kisha wakaenda bila neno ata moja.

In our country we have laws.
All demonstrations are under police laws. Unatakiwa uende polisi ukaombe ruhusa kwa ajili ya suala hilo.
Kama police watakataa utaenda rank ya juu. Na kama suala hilo litakataliwa utapeleka shauri(Ombi) Kwa waziri wa mambo ya ndani.
Na yeye ndiye conclusion ya suala hilo. Huwezi kwenda mahakamani kushitaki kuwa unataka kuandamana.

You can read the United Republic of Tanzania constitution:-

[ATTACH=full]151505[/ATTACH]
[ATTACH=full]151506[/ATTACH]
I think you get the picture kidogo. Ukitaka zaidi nitakuletea sheria ya police:

Yes I get the drift,but my question is:
1.have you experienced any kind of Demo in the past say 3 years and;
2.in case all the Authorities mentioned above fail to give a go ahead,can you as a people defy that?

Why am asking the above is because, M.P for Iringa Peter Msigwa stated that M.P’s are not allowed to hold any public rally outside their area of jurisdiction.What is the rationale behind this?

In our country we live in harmony and tolerance.
Kuna vyama mbalimbali hutumika kuwasemea walio wengi.
Eg:
Chama cha walimu Tanzania ( http://www.ttu.or.tz/ )
Chama cha madaktari wanawake Tanzania ( http://www.mewata.org/ )
Na vingine vingi. So kila kikundi kinawasemaji wake.

Kama utafanya demo bila kibali cha polisi utakuwa against the law.
Hata mikutano ya hadhara lazima iwe na kibali toka polisi.
Soma sheria ya (Police Law) United Republic of Tanzania (Law ya police kuhusu demo na mikutano)

[ATTACH=full]151511[/ATTACH]
[ATTACH=full]151512[/ATTACH]
[ATTACH=full]151513[/ATTACH]

Nadhani utapata ufahamu kidogo. Karibu.

That is the key word.Sawa

Kuna msemo upo kwetu unaitwa (TANZANIA KWANZA VYAMA BAADAE)
Harmony and tolerance in Kenya is very difficult. You as Kenyans you have to build it.
Tanzania has more than 120 tribes we live in harmony and tolerance.

I don’t get,are you saying we don’t live in harmony in Kenya?

harmony and tolerance (Both together as a single word)

I think you got that very very wrong.I think you should do your home work…and why would you say we don’t live in harmony.Kuna vigezo zipi hizo zime fanya ufikie hilo?

nimesema harmony and tolerance lazima viende pamoja. The ability to control feelings and emotions

I agree with you.But could you be confusing between the two virtues and possibly fear.
For instance, could i be wrong if i said that the culture of Tanzian’s is built on fear,as illustrated here by the Founding Father.[ATTACH=full]151517[/ATTACH]