UJENZI WA KIWANDA CHA MAGARI WAANZA: Zaidi ya billioni 22 za Kitanzania zimetengwa kwa hatua ya kwanza ya ujenzi wa kiwanda cha uundaji wa magari kitakachojengwa Kurasini jijini Dar es Salaam. Kati ya September na October mwaka 2019 Tanzania itaanza kutumia gari la kwanza.
KAMPUNI YA IPP KUJENGA KIWANDA CHA KUUNDA MAGARI - IPP na kampuni ya Youngsan Glonet Corporation(KOTA) zinatarajiwa kujenga kiwanda cha IPP Automobile Limited maeneo ya Kurasini-Dar - Magari yatakayoundwa ni aina ya Kia, Hyundai na Daewoo
Sisi tuko na kadhaa tuko na moja pale Mombasa ya hino trucks ingine pale athi river ya China cars ingine ya vw pale thika na ingine ya bmw yajengwa pole kaka tz wanaanza kutembea sisi twa shinda marathon