Tanzania: Ziara ya kutangaza utalii nchini China imehitimishwa leo jiji la Beijing

Ziara ya kutangaza utalii nchini China imeitimishwa leo kwa mkutano wa kutangaza utalii na kuvutia uwekezaji katika jiji la Beijing. Makampuni 200 ya biashara ya utalii, vyombo vya habari na mashirika ya ndege yamehudhuria mkutano huo.

[ATTACH=full]210018[/ATTACH]

[ATTACH=full]210019[/ATTACH]

Mwakilishi wa Kampuni ya Bobby Tours ya Arusha akielezea vivutio vya utalii jijini Beijing. Kampuni hiyo ina uzoefu wa miaka 40 katika shughuli za utalii nchini

[MEDIA=twitter]1064776489063739392[/MEDIA]

[ATTACH=full]210020[/ATTACH]

[ATTACH=full]210021[/ATTACH]

[MEDIA=twitter]1064344146427600896[/MEDIA]

Kila la heri. I hope watanunua Cashew nuts zote wakija Bongo

Hizo tunakula wenyewe. Soko letu la ndani linajitosheleza.

Wanakujia pembe za wanyama wa pori

Childish thinking. Tulishatoka huko kijana. Tafuta kazi zingine za kufanya.

Mimi ni mchina, najua chenye ndugu zangu wanatafuta hapo kwenu. Biashara ndio wataanza kuzinyakua, kisha wabebe dogi zenu za mtaani, na pembe za wanyama wa pori. .

I told you. Upo na akili za kitoto. Siku hizi dunia ni kama kijiji. You have childish mentality thinking every thing negative about Tanzania.
China is a Socialist Country also Tanzania is the socialist country.
You don’t know the relationship we have.
Pita hapa na usome kisha uache utoto.
https://cn.tzembassy.go.tz/about/category/historical-background

Biashara ndio tutaanza nazo, tuweke ndugu zetu kutoka Guangzhou na kangbao. Kisha tuingie Porini tuanze kuvuna pembe za ndovu na vifaru tukizipeleka China. Tunashukuru Sana Kwa ushirikiano tulio nao wa usosholisti. Tanzania hoyee! China hoyee!!

Wachina hawana pesa.Hao ni wafanyi biashara tu.

Imefikisiwa…

Real defination of misers.

Yes it makes sense with the current path Tz is persuing. Afterall, [SIZE=1]asilimia tusaini na nane ya Tanganyika ni mbuga za wanyama wa porini.[/SIZE]