Taru. cc @muria.mboco

Heavy Traffic snarl up at Mombasa-Nairobi highway near Taru due to heavy rains in the coastal area. A section of the road has been washed away by running waters.
[ATTACH=full]89854[/ATTACH] [ATTACH=full]89855[/ATTACH] [ATTACH=full]89856[/ATTACH] [ATTACH=full]89857[/ATTACH] [ATTACH=full]89858[/ATTACH] [ATTACH=full]89859[/ATTACH]

1 Like

hii mvua si inyeshe nairobi

5 Likes

@muria.mboco I hope uko na mugoks ya ku last the whole night, hapa Leo hampiti,

1 Like

Inanyesha ndani ya Indian Ocean

2 Likes

walai ile vumbi iko huku imezidi

na joto bana

Hahaa VS me nko base nimetulia, nlifika jana asubui,na leo nmeshinda kunukisha kitunguu huku kwa HOHO 001

2 Likes

Na hii section si wamemaliza kujenga juzi tuu? China man anatuchezea sasa… .

3 Likes

Deliberate sabotage of rd network ndio kila mtu aingie box ya SGR, Taru has been a pain in the ass for close to a decade, SGR imefika Nairobi kaa huyu contractor bado yuko hapo kwa hio stretch ya 30kms

2 Likes

Lucky you

Leo buses zitaumia…ama chinaman will be there to tow them from that quagmire

Kuna siku huko taru haina mvua?

Makes me dread heavy downpour along Superhighway esp at Muthaiga drift. Sisi hulala hapo.

…Hizi zaitwa acts of God.

nairobi kutanyesha lini? Hujuma!!!

1 Like

Afadhali joto ya 047,huku 001 usiku tunalala kwa verandah ju ndani ya nyumba ni furnace

2 Likes

…Start preparing early count down starts now

1 Like

Get ready for abnormal floods

1 Like

Umenotice siku hizi hakuna umbu

hata normal floods zimekataa…hii takataka ya kidero imejaa left right & centre needs washing away

1 Like