TATIZO LILIKUWA MESSI

Watu wengi wanamtetea Messi kwamba anaangushwa na wachezaji wanaomzunguka anapokuwa kwenye timu ya taifa.

Lakini ukweli ni kinyume chake, Messi ndiye aliyewaangusha wenzake dhidi ya Croatia.

Katika kipigo cha 3-0, Messi ndiyo mchezaji wa Argentina aliyecheza hovyo zaidi.

Ni golikipa, Willy Caballero pekee ndiye aliyegusa mpira mara chache zaidi ya Messi.

Messi aligusa mpira mara 49 tu, Caballero aligusa mara 43…ndani ya dakika zote 90.

Messi alikamilisha pasi 24 tu katika 32 alizopiga…ina maana pasi 8 alipoteza. Wachezaji 7 wa Argentina walimzidi.

Golikipa wa Croatia, Danijel Subasic alimaliza mchezo mzima bila kuokoa hata shuti moja la Messi. @ Saint Petersburg, Russia

Its the coach.
A formation bila midfield ni ufala sana.
That said, apologize for dragging Messi’s name through mud.

Wenzake walipata nafasi ya kung’ara maana alikuwa kazingirwa, Lakini wapi, kutu kawazidi…
[ATTACH=full]178629[/ATTACH]

[ATTACH=full]178630[/ATTACH]

kiswahili kigumu kweli

The pressure got to Messi. On Sunday the team had a Fathers day celebration. Everyone was there but he locked himself in his room. Ronaldo great start has gotten to him. That rivalry burns deep. Its now certain messi will never win world cup like Maradona and that will remain the great disparity between those two stars. Ronaldo is also ahead now which means he has to respond next season. Can he handle pressure. So far it doesn’t seem like it.
[ATTACH=full]178631[/ATTACH][ATTACH=full]178632[/ATTACH][ATTACH=full]178633[/ATTACH]
No matter how poor Argentina have been, Messi has been invisible this tournament. No doubt about it. Ronaldo’s team is even less talented yet he’s found a way to get them qualified, that’s a GOAT right there. #worldcup

Tangu namjua messi sijawahi kuona juhudi zake nje ya klabu yake ya Barcelona,mbali na hilo sijaona anachukua majukumu halisi ya nahodha wa timu
Afu nilichogundua watoto wadogo waliozaliwa miaka ya elfu 2000 na kubalehe 2018 ndio hasa wanasumbua huko mitandaoni na jina la Messi
Lakini pia umri nadhani umeanza kuwa kikwazo kwake bila shaka

It’s now very evident how Messi is an “Iniesta puppet”… Acha Cris abebe Golden boot

ifikie mahali muache unafki ulifuatilia copa America au kuqualify kwao jinsi alivyoibeba Argentina na lastly unadhani hana mchango wake mpaka kutinga fainali za world cup 2014

Mi sishangai kwasababu hata michezo ya awali huko South America wamekuja kwa kusuasua

Wamekuja kwa kusuasua,kwani kopa America walichukua Argentina?! World cup 2014 walichukua au mchango wake ni upi hapo

Kwanza unamiaka mingapi kijana na umeanza kuangalia gemu lini sio unakuja hapa na takwimu za elfu mbili kumi na nne tu za kubahatisha kisha unatak kutoa povu,…

Acha unazi zungumza soka

They are having a MESSY form at the world cup

Argentina have only themselves to blame for the position that they are in…they carried flair players and left this thug at home.

https://www.youtube.com/watch?v=5dDcJO4w-x8

Blaming Messi is a ton of crap. If it were not for him Argentina would have not even qualified

Argentina won one qualifying match without Messi. ONE. before Aguero vs. Iceland no one had scored a competitive Argentina goal without his involvement for 600 days.
Until aguero scored last game, aguero hadn’t scored since june 2016, dybala has 0 goals in 12 games, higuain last scored in october 2016, di maria since november 2016…

Kwa kuwa umemzungumzia Ronaldo kwa kudhani labda nilimaanisha ya kuwa namkubali Ronaldo sivyo ilivyo
Lakini nikwambie hesabu ubora wa wachezaji wa ureno kisha hesabu ubora wa wachezaji wa Argentina kisha watoe hao key players wao(messi na Ronaldo)wabadalishane mataifa uone kama world kapu haiendi Argentina kwa Ronaldo na mess wa ureno hata hatua ya makundi hatofika.

Chukua mess na barca nje ya la liga namaanisha Uefa huwa anasaidia vipi timu yake chukulia tu kuanzia miaka ile ingali kijana kabisa hadi hivi karibun amesaidia nini ndani ya klabu yake?! Kama vyenga hata Okocha alipiga vyenga vingi tu lakini anamchango gani?!

Chukulia timu za bara Amerika kisha ziweke na Bara ulaya uone wapi mpira upo kisha chukua timu ya ureno iweke katikati yao utaona ni nani anastahili kuitwa mchezaji

Mchezaji haimaniishi upige vyenga,magoli mengi Hapana mchezaji lazima uyafanye yote hayo na kisha uwe na uhamashishaji kwa wengine wajue wanacheza na mtu uliewazidi kila kitu.

Nadhani ukitazama utaona Madrid haikufaa kuchukua Uefa msimu huu mana walikuwa na kiwango kibovu lakini wachezaji wakahamasishana na kocha pia mwisho wa siku wakacheza kwa kujituma wakachukua kombe.

Messi ni mzuri sana lakini wenzie wamekuwa wakimlalamikia kwa kuwa na maamuzi kama kocha,akikuchukia basi hutacheza,mkikwaruzana kidogo hutacheza,yupo uwanjani na vijana wadogo wanaotafuta jina lake Kama kina Dybala piga ua watacheza kujitafutia wao ili waoneshe na wao wanaweza bila yeye ambae anamaamuzi juu yao wote,hana mbinu za uhamasishaji kwa wenzie hayupo kama nahodha wa timu…

Mbali na yote ni mwaka huu tu ndio kamzidi Ronaldo kwa kuingiza pesa nyingi na ni kwa sababu Ronaldo hajasaini mkataba mpya,ronaldo anakampuni nyingi za matangazo kuliko mess so ndo utajua yupi ni bora kati yao.

Lakini mimi ukiniuliza mchezaji gani bora kwangu,sitamtaja Mess wala Ronaldo nitakutajia INIESTA na Marcelo miaka yote kwa uchezaji wao mzuri uliotukuka na ukitizama hawa ndo wanafanya Ronaldo awepo na Mess awepo

Marcelo anacheza kisha akifika mbele anajitahid amtafute Ronaldo alipo ili ampe mpira
Iniesta akicheza anamtafuta Messi alipo na mara chache alikuwa anamtafuta Suarez ambae anajua jukumu lake ni kumpa Messi tu ili amalizie.

Sishabiki yeyote kati yao wala sikutaka unitajie Ronald ndani ya uzi huu ambao naamini mtoa mada alikuwa hataki kuzungumzia Ronaldo maana ukitazama ureno inaweza kutolewa na irani na Argentina ikasonga kam itampiga Nigeria so bado mambo mabichi acheni ushabiki maandazi zungumzeni soka

Huwezi kusema ipo nyuma ya Brazil na Uruguay wakati wenzao wapo mbele ya ufaransa na ujerumani na wamenyanyua kwapa na kombe la ulaya.

Assit moja na goli nne wakati mwingine anazaidi ya vyote

Marcelo na Iniesta bado wapo juu ya hao wote mtazamo wangu lakini sijalazaimisha iwe kwa wote.

Ronaldo anamwaka huu tu wa kucheza mpira mzuri na mess anamwaka mmoja mbele wa kucheza mpira 31y-33y

umeongea mengi ila sijaona la maana. kama uliangalia uefa final 2009 na 2011 ndio utajua Messi amesaidiaje Barcelona.
Pia naona umesahau kuwa mfungaji bora 2014 world cup alikuwa na magoli sita.

Hawa maghasia za maghufuli mrudi kwenu mnasumbua hapa :mad::mad:… Ama muundiwe tanzaniatalk useless trash!!