TATIZO SIO KWAMBA HUTONGOZWI NA VIJANA BALI HUJUI TONGOZA YA VIJANA!

Juzi nilikua naongea na dada mmoja, akaniambia kua yeye anatamani kuolewa lakini kila mwanaume anayemtongoza ni mume wa mtu, hajawahi kutongozwa na vijana au vinaja wakija kwake basi hua hawako siriasi wanataka kumtumia tu. Kwanza nilicheka kidogo lakini nilimuambia tatizo lake si kwamba hatongozwi na vijana bali amekua akitembea na wazee kiasi kwamba hajui au kashasahau kua vijana wanatongozaje.

Labda nifafanue kidogo kwani najua mko wengi hapa mnasoma, una kamzee kako unajipa moyo kanakupenda bila kujua kua baada ya miaka mitano kuna mawili, kwanza inawezekana utakua bado uko naye unatamani ndoa au mtoto lakini yeye anakukwepa au jambo la pili nikua ashakuzalisha ukidhani atahudumia mtoto ila kashakutelekeza karubi kwa mkewe au kaenda kutafuta binti mwingine mbichi kama wewe ulivyosasa.

Iko hivi, utongozaji wa mume wa mtu ni tofauti na kijana, najua mnajiambia ooohhh wazee wanajali, wanadekeza, sijui nini na nini? Ni kweli lakini si kwakua wanajua kupenda bali nikwakua wanajua ndiyo kadi pekee ya kucheza, wasipojali sasa watakupa nini cha maana. Mbali na ufundi kitandani ambao mara nyingi unapatikana kwa vijana, ili mwanaume kumdthibiti mwanamke na kumlazimisha kukupenda kuna mambo mawili.

Jambo la kwanza ni utoe pesa, daa mwanamke ukimpa pesa hata kama sura yako ni kama nyama ya goti ni ngumu sana kukuacha maana unavumilika, ukamdekeza kidogo basi unavumilika. Lakini jambo la pili ni umpe matumaini ya ndoa, hapa mwanamke hasa wale ambao washakua watu wazima achana na vitoto vya shule hawa bwana akiwa na mwanaume ambaye anaona kua huyu anaweza kunioa, hata kama hanipi pesa lakini angalau anaweza kuwa mume.

Hapo mwanamke atavumilia kidogo. Sasa kijana ana hii kadi ya pili, kwamba hawezi kujali sana au kutoa pesa sana kwani anajua kua utamkubali na kumnyenyekea kwakua unawaza ndoa, mzee anajua kua unajua ana mke hivyo suala la ndoa halipo kazi yake kubwa itakua ni kutoa pesa na kukudekeza ili usichomoke. Sasa kama wewe unatembea na mume wa mtu na hela hakupi basi wewe ni FALA tu! Unahitaji maombi, unahitaji maombi zaidi kama unaamini kua atamuacha mkewe kwaajili yako

Hahaha
Ngumu kumesa! Asante kwa ujumbe!!

siku hizi wana kauli mbiu wako tayari kuwa matala…ukifikiria huyo mmoja tu kazi ipo

itabidi umeze tu hahahaha ingawa ni ngumu

Mie nshatoka kwenye huo umrii

Very true
Kuna mdada mmoja mwaka 2011 alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni moja alikuwa mzuri balaa kipind hcho alikuwa na miaka 30

kwa story niliyoipata niliyoipata yeye alipomaliza chuo alichumbiwa bahati mbaya uchumba ulivunjika week chache kabla ya ndoa. Basi bidada akawa amehamishwa toka dar kuja kufanyia kazi mkoani, baada ya muda akaanzisha uhusiano na workmate ambao pia haukudumu sana
Kipindi hcho 2011 me ndio npo second year nilikuwa nafanyia field pale kweny hiyo kampuni ndio nkakuta anatoka na yule work mate mwanzoni wa mwa 2012 waliacha na ndio yule dada akakutana na mzee mmoja alikuwa amehamishwa dar kuja mkoani kwa ila familia ilikuwa Dsm, yule mzee alimpa kila kitu yule manzi kuanzia usafiri, alimnunulia viwanja kadhaa akamjengea na nyumba plus kumfungulia biashara kubwa.

In short yule dada alipewa kila ktu ila alijisahau sasa kuwa yule mzee alikuwa anamtumia tu kimapenz maana jiwe lilipoingia yule mzee alitumbuliwa inabidi arud Dar kwahyo yule dada akapotezewa na umri ushaenda 37 ule uzuri niliomuona nao haupo tena sahz hamna kijana anayemtaka sahz stress tu full kupombeka chapa ilale

Duh

nafasi iyo omba papa umpunguze stress

Tatzo hapa kazini masenior wengi walishapita

we sio mtombaji mie huwa siangalii ilo mdau

Mngh!

Inasikitisha sana…

Cc: @Mahondaw

WAHUSIKA MUKUJE

Ukweli huu…

kwani waliacha alama? We pigs acha kujiuliza maswali mengi

kanishangaza sana jamaa mwanamke kama huyo huku mtaani huwa tunapeana signal tu yeye mwenyew anakuja kushangaa wana kama wote wa kitaa wamemla

Nilichoelewa shunie mm kwenye kutoa pesa jamani mahela ndio kila kitu mtoea mahela mtapendwa tu

We kama sio wa machame bhas kishmundu

Miss u jamani babe wangu

Miss u mingi mingi mamito,sikukuu ishapita ndio naanza kujisogeza sogeza tena kwako,maana bila hivyo ingekua na hatari na vyuma hv,hope huku pm yako open muda wote