TBT Angry Bees Edition

Meria Mata

Elder Statesman
#1
Ile story ya jana ya watu kuvamiwa na nyuki reminded me vile siku moja pia mimi nilipatikana nazo, and guess what? It was all coz of slices.

There was a singo matha colleague murembo kuruka ambae nilikua nimeomba slices for over a yr, ile siku aliingiana akanishow hawes enda Githurai fote fae, ati hio mtaa sio safe kwaivo kaa nataka tuende kwake Ngong, the offer was too gd to refuse na after job nikajipata kwa 111 with a very hard boner. Long story short threshold ilifika naikapitishwa, didn’t sleep a wink that night, nikurarua tu as is the world was ending in the morning, ata yeye alifurahi juu ile hug nilipata nikitoka nikaa hakua anataka kuniachilia, she then told me kuna only one bus from Ngong ile hufika Mayacos country bus juu inabebaga watu wa marikiti (offisi yetu ilikua huko third world)

Kufika stage kapata ata hio mbus iko na konkodiski tunajuana, a bad boy from kona mbaya who was in exile, akanishow nimpangie watu vizuri ndani ya gari, time was kindu 6:20 hivi. Kazi ya kupanga watu ilikua wewe na conda mnajiseti back seat alafu wathii wakianza kusimama unaanza kuwapanga kaa unawaweka lock as stage ya kwanza ilikua Kenyatta spitali, kondaa naye gari ikiwa Karen ndio anasmama nakuanza kukata watu.

Nikiwa third seat from the back nikipanga wathii ndio gari iliondoka, from Ngong town hua ni mteremko so deree just disengaged the handbrake gari isuke ikiwa free but every few meters anasmama ili kubeba. After afew minutes gari ikajaa kabisa nikaambia makanga afunge mlango (Ngong is always chilly in the morning) na deree aachilie ngoma sasa, its like he was waiting for the signal coz alidunga gear number tatu gari ikaruka mbere tukajisindiria vizuri he forgot about a bump ilikua hapo mbere kidogo, alipiga maemergency brakes but we still shot up to the roof na abiria wengine walilalamika, hehehe, we apologized on his behalf but by now we were in gear five tukimalizia hio mteremko.

Wacha manduru zianze huko nyuma ya gari, very loud screaming by people in agony, kugeuka kucheki ninini pia mimi nikapatkana, Nyuki. Kumbe usiku a swarm of bees had nested under the backseat gari ikiwa parking kwa petrol station na saa hile deree aliluka bump he disturbed the bees and they attacked. The pandemonium that was there was epic, I think kwa shetani kutakua hivo, everyone crying out at the top of their voices, deree naya akafikili ningoma tunaenjoy akaongeza volume while all the time tulikua twamuambia asimame, wathii nao wamecrowd kwa mlango which we had closed from the inside, weuh, the angry bees had a field day.

Even after the deree stopped after he realized we were screaming in agony it still took us over 30 seconds to open the door, wish we had phones with cameras those days coz the videos nigelichukua zingetrend Youtube, kila mtu akishuka was doing an impromptu dance fighting the bees, scratching where he has been bitten and trying to remove the heavy clothing, imagine doing all this while running like Usain Bolt. Gari zingine zilisimama kuangalia the rare spectacle and after the bees left and we were all in the bus again we had a good laugh, needless to say nilichelewa na job.

Ngong nilizidi kutembea tena for about a yr to eat my slices but every morning lazima tungeangalia chini ya viti kaa kuna nyuki hiding there.

Welcome to TBT Angry Bees edition
 

Join Chatpanda, Fastest growing social media website in Kenya! Get verified easily, grow your following, and meet like-minded Kenyans

Join Chatpanda, Fastest growing social media website in Kenya! Get verified easily, grow your following, and meet like-minded Kenyans


Join Chatpanda, Fastest growing social media website in Kenya! Get verified easily, grow your following, and meet like-minded Kenyans

Top