TBT: Back to the roots ~ Kimilili Edishen

Hii biashara imelisha na kusomesha bukusu wengi kama @uwesmake and @Mundu Mulosi
[ATTACH=full]239218[/ATTACH]

A young Lichoti and Mundu Mulosi would wake up each morning and walk barefoot to school. When they were chased away from school due to school fees they would help in brewing the changaa. At times customer wakiwa wengi they would become servers/waiters of the illicit brew.

When the local chief and his APs raided the ocha changaa den and they was no fund(s) to bribe him the two young boys would be offered as sacrificial lambs.

The red eyed chief with mkono sandpaper hands wud take them to his crib. Once there he would ask them in kibukusu " will u take it the easy way or the hard way"

Watu utoka mbali wacha vile sikuhizi wanajifanya hao ni watu wa Gilbeys and other fancy liquors. What a TBT…

Fractional distillation, ati the white man brought chemistry.

take what???
hiyo staff Original…can relate na ieleweke ndo huwa sub ya ngelbeys, if only the industry could be nniiiiini…

Niaje mongoose
Nirushue kienyeji baba…

Salo Bado… chuhuhua

Looks very clean hata I would try it nikakuwa huko. Ukicheki brewing ya kumikumi in Kiambu on TV unaskia ukigonjeka juu ya unhygienic conditions wanaipikia.

Wanaweka panya na suruali ya wanawake. Disgusting izo zaa kiambu

Gweng’fiddich.

Is this not too mechanical or small scale? At my place they used to brew at the river where large pipas were used.

 :oops: :oops:they do that? Here I was thinking ni uchafu ya laziness pekee. It’s good sijawahi ingia hizo vichochoro.

Yes haujawai ona kwa news wakitoa mapanya na panties kwa hizo mutungi za changaa ikimwagwa

Figsed

Agweng nyale wuo kano, kise ba kwon bando gi kamongo iiyi, en mana ka kwoto

Quality Omwami, ikiwa kidogo ndo utamu na hata nusu glass humalisi, iko yuuu

:D:D:Dkatch whisky

haiyaa:D:eek:

:D:D:D:D

True TBT, I used to do this the whole night na asubuhi unaenda shule, si ati umelala kidogo, this used to be done on the banks of river Khalaba, ukitoka huko unapita na vitabu ukiendanga shule.

In support of Uwesmungich
[ATTACH=full]239303[/ATTACH]

Ghassia unaambiwa ulikuwa unakamuliwa mkia na una support