niliachanga landlord wamezushiana na mwenye club hadi kotini…hii ndio place ilikuwa landmark ya kujua niko k street.Ata ile ngoma ya “pesa zina mwisho…zina mwisho”,that song had this line:“ukitakaaa,wanawake,anakimbia florida aniletea”…years on i came to realize ilikuwa iyo florida inaimbiwa
Hehehe, nakumbuka hapo tukiswaga mizinga Johny Walker time flani, hizo stairs vile zilikua si nili slide kuanguka na ku roll man, sijui venye nilifika chini but nilitoshea nikiroll mpaka down, bado hiyo ndo siku nilipoitisha dem supu ikus, aliniambia ni 4000 without blinking, nikamjibu kwani ni mbuzi na nunua, akashuka 3000 but bado, eish
nyinyi ni wale hamutaki fair game,umekalisha dame na beer moja since 10pm saa hio ni 12:30 am,jamaa ananotice anatuma waiter but wewe ni vita unaleta na dame ni mali ya umma.Vita zote zilikua btwn machali ju ya dame ama chali ameita dame maliar,well ofcourse ni maliar,but still