TBT: kapuka vs genge

Doc Oga

Village Elder
#2
hakuna rules kwa hii game hata kwa kichaka
nakutana na wee supermarket hapo hapo nataka
bora wee ni manzi mpoa, usiwe kiraka
na una kifua ndogo
na nyi wa mahaga
usijali hizi line niliandika nikiwa mashada
sheets zangu ata jo ukizichafua
hizo jeans na ngotha jo hutachafua
ntakuwa nazipeleka wapi White Maua
White Rose
White Maua


vile ntafanya (nikikupata)
vile ntafanya (nikikuwacha)
vile ntafanya (nikikutaka)
vile ntafanya (nikikuwaza)
 
#5
well,naeza sema both had a fair share of fans..kapuka ilikuwa ya mababii sanasana though..genge ilivuma sana eastlands and kidogo south of nairobi..
i listened to both and my fav in kapuka were e-sir,nameless/wahu combi,historians,klepto,krupt na pia in genge i loved lady s,rat-at-at,juakali,ksouth,pilipili..nnonini
i dont know where to place cannibal/sharama and ukoo flani lakini i doubt ni kapuka
 

Top