Unakumbuka high school wale walimu walikuwa na Accent na hao ndio walikuwa wana insist ku-dictate notes?
Mkiwa class ya Chemistry unaskia, “Njahe and Njambi are heated @300 degrees and 400 degrees respectively”. Unajiuliza hao ni kina nani???
Kumbe Anamaanisha, “Jar A and Jar B!!!”