TbT: Mats

Ya kwenyu ilikuwa naitwa aje
[ATTACH=full]231064[/ATTACH]
[ATTACH=full]231065[/ATTACH]

Rititi

route five eight buruh-DRAMA
route two three outering-touchdown,diablo,bafanabafana
route nine-lethal injection

na zote lazma zingekuwa na a hand-drawn image ya the actual ma3 inside…
Nani ako na mbichaz alete?

Gugu

Nakumbuka zikisukiwa pale godown ya Catskills… Siku hizo 58 zilikuwa zinafika hadi pale
polisi.

58 hapo kuna, Chocolate City, Drama, Fire Ball, Bones, then baadaye akina RuffCuts zo huingia na Michuki rules zinaanza

Panitwa MESOCH “Mesora”

Za Michuki pia nakumbuka akina Brown Sugar, Vanilla,Soul…

hehehehe, mimi niliacha kujua jina za Ma3 na hiyo Ruffcuts during hiyo crackdown ya Michuki, it was the only Mat with grafiti 58

mimi nilizeeka nikaanza kuenda na double M

RN40 Then upgraded to YN55