TbT: Maziwa ya Nyayo

Matiangi kids…>>>> keti kule
wangapi tulikunywa hii?
[ATTACH=full]171015[/ATTACH]

They are now grandfathers and mothers.

Taja yako enye uliona kwa nganya ikakubamba
[ATTACH=full]171016[/ATTACH]

mi

Yes I.

TBT belong to one and only @Meria Mata , wengine tukae pale------------------------->

hio maziwa nilikuwa nachukua kama tatu , sniper team

Nakumbuka Bedford which used to deliver without fail na hizi siku watu wanashindwa kudeliver hata vitu ndogo

Only once not sure why we got that milk on that day since our school was a private school.

Ile ya usikule mayai boilo,miwa etc kwa gari.I find it funny.

Nakumbuka nikiuziwa gari imeundwa na hizi box na Ile ‘maziwa’ ya Euphorbia kama gum…

HATA UWE MSAFI AJE,
HUWEZI TOA SURUALI UNYAMBE…