TbT: NYERI

Watu wa nyeri mko wapi?Hivi ndivyo ilivyokuwa mji wenu 1903.Huyu chief wenu kweli alikuwa Mswati mwingine-wambugu wa mathangani.Alikuwa na wanawake 16…wajameni
[ATTACH=full]165248[/ATTACH][ATTACH=full]165249[/ATTACH]

kama ni leo only one of the 16 would be the wife and the rest would be side-chicks and baby mamas. That’s why we need to support Wamucoba

Healthy looking family.

:D:D so true.