TBT SIMU YA DUTTY YEAH

[ATTACH=full]198295[/ATTACH]

Yeah i remember them days, simu ilikuwa kama gold. Kuna time tulikutwa kwa local. Wezi wakaingia kama wanashout, “SSP!!!
,SSP!!!, SSP!!!.” Wenyeji wakaanza kutoa tu, mimi sielewi kumbe ni simu, saa, pesa. Waliniibia simu ya Bird, design kama hii ikaniuma sana.[ATTACH=full]198301[/ATTACH]

kuna ariff wangu alitiwa neti juya alcatel kale kalikuwa ka red…hehhe with a milky screen wakisema ni coloured

Hii ndo ilikua infinix ya hizo siku…

:D:D:D:D

[MEDIA=instagram]Bog0-6uHexl[/MEDIA]