TBT Thanks Giving Edishen

#81
Mimi nilikuwa fan wa all manner of radio stations on SW, the likes of BBC, DW, RFI, Radio Netherlands, Radio Channel Africa, FIBA, Radio Netherlands, Radio Uganda, Radio Bangalore, VoA, Radio Japan, Radio Rwanda, etc etc.
What of dunia wiki hii na Hamisi Temo ilikua story za disasters na vita tu.
Waasi wa Tamil wenye siasa kali walifanya mashambulizi , Wanamgambo wa Serbia wa Mrengo wa kushoto wamewauwa watu Takribani, Kibunga kikali kilikumba Nchi ya Uturuki, Mafuriko makubwa yameua watu takribani, Waasi wa Hesborah walifanya mashambulizi kaskazini mwa Westbank etc etc
 
Meria Mata

Village Chief
#82

hehehe, ukanda wa gaza umekua fujo toka zamani
 
Luther12

Village Sponsor
#85
What of dunia wiki hii na Hamisi Temo ilikua story za disasters na vita tu.
Waasi wa Tamil wenye siasa kali walifanya mashambulizi , Wanamgambo wa Serbia wa Mrengo wa kushoto wamewauwa watu Takribani, Kibunga kikali kilikumba Nchi ya Uturuki, Mafuriko makubwa yameua watu takribani, Waasi wa Hesborah walifanya mashambulizi kaskazini mwa Westbank etc etc
Didn’t have a Tv at home at the time.
 
Ka-Buda

Village Elder
#88
What of dunia wiki hii na Hamisi Temo ilikua story za disasters na vita tu.
Waasi wa Tamil wenye siasa kali walifanya mashambulizi , Wanamgambo wa Serbia wa Mrengo wa kushoto wamewauwa watu Takribani, Kibunga kikali kilikumba Nchi ya Uturuki, Mafuriko makubwa yameua watu takribani, Waasi wa Hesborah walifanya mashambulizi kaskazini mwa Westbank etc etc
Kikikikkkk..
All I used to hear on the news is Makalasinga wenye siasa Kali....

Weather forecast with Wandimi Muchemi :
Twatarajia nyuzi arubaine huko upande wa Moyale,Mandera,Lokichogio na Lokimoran'g.
Grew up very curious where these places were and this year had the chance to do a road trip those sides.
And it was true,Kulikuwa nyuzi arubaine plus.!!!!
 
Meria Mata

Village Chief
#89

Rasharasha za hapa na pale, what the hell was that
 
Luther12

Village Sponsor
#90
Kikikikkkk..
All I used to hear on the news is Makalasinga wenye siasa Kali....

Weather forecast with Wandimi Muchemi :
Twatarajia nyuzi arubaine huko upande wa Moyale,Mandera,Lokichogio na Lokimoran'g.
Grew up very curious where these places were and this year had the chance to do a road trip those sides.
And it was true,Kulikuwa nyuzi arubaine plus.!!!!
Those places are damn hot for sure. And windy!
 
#92
Kikikikkkk..
All I used to hear on the news is Makalasinga wenye siasa Kali....

Weather forecast with Wandimi Muchemi :
Twatarajia nyuzi arubaine huko upande wa Moyale,Mandera,Lokichogio na Lokimoran'g.
Grew up very curious where these places were and this year had the chance to do a road trip those sides.
And it was true,Kulikuwa nyuzi arubaine plus.!!!!
Then advert zote za beer made me think drinking was the best thing on earth. Kwanza ile ya Tusker my country my beer
 
Top