tbt

[ATTACH=full]87232[/ATTACH]

3 Likes

Vipi Uncle @Uwesmakei?

1 Like

Tbt uefalona[ATTACH=full]87235[/ATTACH]

1 Like

Watu wa Chelsea vipi

[ATTACH=full]87236[/ATTACH]

5 Likes

poa baba

1 Like

wacha zako. huu uluhya wako wakusalimiana salimiana ungewacha kijijini,

3 Likes

:D:D:D:D:D:D, niaje omwami

Lazma msalimiane? Noogle nyinyi!!! Kwani PSG kuliendaje watu nguyas?

1 Like

:D:Dunauliza.wale wa psg ni wangapi huku:D:D:D

1 Like

salamu pelekeni inbox

1 Like

wacheni wivu MOD muzito akinitambua .

2 Likes

Hizi mabao naona ni za jana ama Ni TBT?

2 Likes

:D:D:D SEMA kichapo ya mwizi

sawa chairman

jamaa wa Arsenal tulia

1 Like

@bjurmann kumbe wewe ni wa kale kateam…juzi kulienda aje

1 Like

Nilikuwa nataka team nzito zisiingie last 8 eg arsenal, Barcelona etc

1 Like

Powa…Unaona Sasa?

ambia madam nimetuma salamu

1 Like

Hehehe ata mimi nimestuka ju sikuwatch game…but kuna venye watu wa arsenali wamefurahi talk about misery and its love for company :smiley: