@mabenda4 wapi hekaya zako, wewe si mtu wakuweka macomment, you make the comments flow in this village, sasa ukijiweka kwa kucomment sisi wanyama wachochole (villagers & new villagers) tufanyeje?. You and Ka-buda your hekayas and narrative skills are huko juu!. Bila hiyo Olmonk atafunga duka, coz Flash Gordon hayuko, TLS naye ako chini ya waba.