TCL TV

Wakubwa nadai kubuy TV nimepitia streets za olx nikaona wadau wanauza TV ni kama wanapeana TCl smart TV 43 inch ni around 34 k
Kiuliso - hizo TV ni Zile original za USA
Ama ni za kina chao Cheng

Kitu imetuma nizi doubt ni hizo white coloured boxes they are in instead of
brown plus
Saidia @Electronics4u

Who has bought them are they good?

TLC ni company ya china,
following this thread.

nafuata sana

Hizo tv ziko cheap hadi mtu anazishuku 32’ for 18 k
Na hao vendors wanasema zikona warranty
So they must have a service center
Pia Tecno/infinix nimeona wameanza kutengeneza TV wamezibrand synix
Ikiharibika unapeleka carlcare :smiley:

i went to buy a tv and on display kulikua na sony lg samsung tcl vitron na hisense

truth be told nilikua najiambia im getting either lg or samsung nothing less but after checking the clarity nilitoka na vitron sometimes big brands are just that …brands what id advice you get a HD video clip in a flash disc test on each set you want to buy usiangalie jina ya tv

I second this

Ni t.v poa.
Its display is quite clear for their cost, even for gaming. However the sound quality is poor so you might need to connect to your home theatre system or any external speakers to get a better sound.
Morgan Freeman sounds like Lilian Muli when you use the TV’s speakers.

Haha ampex si unajua ni thao sita tu
You have that TV ?
Does it have that customized Roku interface
Ama it has that ugly Android 4.2 launcher?

Hii ni too much work It all depends on the pixels
A 720p video will look blurry Kidogo in a 4k or 1080 TV

I approve of this message

tcl ziko down kheri ata hisense

Peasants

Siwes nunua TV haiko kwa http://www.rtings.com/

asante saana vuja deek…hapa nikienda anisuma watadhani mimi ni QC agent wa SQNY. hio site nimecrick imesaidia

Kwa wanaopenda Lilian kimbieni huko.

[ATTACH=full]95934[/ATTACH]

Iko

Ukienda Anisuma na technical facts and questions from that site, muhindi atahepa

I don’t know much about TCL.
But I know a lot at SQNY…

Hizo sio zile Roku Tv za Amurica, ni chinku kuruka, with an android 4.4, na shida yake kubwa ni kukufa ovyo ovyo; kwanza kama wewe ni mtu wa kuzima tv, kisha unaiacha sleep mode. You also need a AVS - but this is useful to most electronic devices. Hiyo tv is a good short term project…

:D:D:D:Do_O