TCRA Wamenipa Fursa Nioe Kenya

TCRA walikuwa wanakenua meno kuifungia JF wakijua wametukomoa vijana wa Tz kumbe wanampiga teke chura, sasa tuko Kenya Manzee Hehehee wametusaidia, Tuko Kenya Talk tunachat na Totoz za Nai, Kisii, Mombasa, Kisumu Na Pande zote za kwa Kenyatta. Hahahaa wamenisaidia sana hawa jamaa maana nilikuwa na ndoto za kuoa mkenya sasa naona tcra wameniletea fursa chumbani. Hapa lazima ning’oe mtoto kama King Kiba. Mamanzii wa 254 mkujee jamani nijipatie jiko mie

You will be very disappointed.

Nawajua wawili hapa kwenye huu mtandao wamewasaka wapenzi kuanzia Kenya Hadi Marekani ila hawajafanikiwa mpaka sasa. Miaka inawapita,Umri unawazidi,elimu wanayo lakini tabia za kuoleka zinawachenga.

@Mrs Shosho and @Purple !!!
Nimoracario!.. Kikikikkkk

:smiley:

Disappointed how bhana, ebu wacha kunidiscourage manzee

Aiseeeeeeee

Aiseh.Mkuu.Ni ukweli.

Hallo, mimi ni dada kutoka kenya sijaolewa , Sina mchumba, Sina mtoto.
So kama unataka tujuane vizuri inbox me

Aaaahhh ni kwelii ebu madada mkuje mconfirm izi accusation za masela, ni kweli hamuoleki au wana hawatak niwe shemejiiii yao

@Bingwa Scrotum ,these are Tanzanians not Kenyans.
I wouldn’t joke with them on matters like this.
Utarudi hapa ukitembea bowlegged with a leaking rear end.

Aisee

BINGOOO, masela mi naenda inbox sasa hahahaa asante magufuli

Nakusubiri @Risk Taker

@Ka-Buda

Jamaa mbona unamtisha babe wangu jaman au unamtaka wewe

K

Kaka, naomba u-google “psychosexual disorder” na “multiple personality disorder”.
Huyo unayeongea naye ni janadume linalojiita mwanamke.
Ana accounts nyingi sana hapa.
Epuka, nakusihi.

Mimi nimeja…ama nimewasili. Kijana KB mwandishi wa hiyo barua pepe huwa na machungu kali kwa sababu tulimkataa. Kila saa ye atutukana akiona nyakati. Huyu kijana anahitaji bibi kutoka huko ndani mashinani sababu ye hupenda bibi wa kumtoa viatu, kumpikia chapati, kumnawa mikono na kuosha nyumba na vyombo. Sisi tumelemewa hapo kidogo.

Huyo ni Braza man siyo SistaDu!
Aliye na maskio askie.
Majuto ni mjukuu!..

Wacheni wivu @Risk apate Kenyan lady