Tea....

Status
Not open for further replies.

bjurmann

Village Elder
#1
I miss upcountry tea. Whereby you meet with guys in town Na juu ya baridi mnaelekea hoteli Na kuagiza chai. Mkikutana Na msee wa heshima....chai. Maziwa iko poa unateremsha unachomeka koo sawasawa mkichapa Tu storo. Coast unasahau starehe kaa hizo.
 
aviator

Village Elder
#2

na usisahau hio chai ni ya 15 bob kikombe kubwa.
 
Mathaais

Village Chief
#13
Na hujafika Dundori gwa Kiongo saa hiyo ambako chapo ni size ya maskio ya ndovu, andazi pengine mukatane wawili ndiyo mmalize...
You don't need to go to Dundori to enjoy an extra large chapati. If in Nairobi enda hapo area ya Kitindo opposite Transami, there are kambas there who make and sell more than 3000 extra large chapatis in a day.
 
Status
Not open for further replies.

Top