Telegram

…hi i wish to join mafisi sacco…on telegram. tell me how to join it

@uwesmake kuja hapa

I also want in

visit your nearest post office for instructions

2 Likes

@Mombasa & @njege man

10K and you r in

1 Like

:D:D:D

mimi pia add me :Nesh9

Uwes weka elders pekee, mambo matam huko.

4 Likes

Je una habari kuwa timu ya soka kutoka uingereza, kwa jina Chelsea, jana ilichabangwa goli mbili kwa moja na Westham United?. Usitoshe beki wao Matiti na Meneja Maureen kapewa kadi nyekundu?.

1 Like

seriously I want to join this group add me please

Since you’re not an elder, write a 478 word essay on why you seriously want to join and maybe we’ll consider adding you.

9 Likes

…igwee thats my name. add me

@uwesmake…weka kila mtu. huyu webdev in real life anakaa wale watu tu sumbua.

1 Like

Matic si beki ila ni Kiungo cha kati.

Mpaka nilichoka kuambia uwesmakende ani add ni nugu tu

Toeni 10k mu.addiwe nugu hizi

1 Like

ni kama wewe ni member???

1 Like

Mi hata sijui. Tulia watu walipe membership fee

Telegram ni ya VE pekee yake. Ama mtu atoe za macho.

2 Likes

hata @Unicorn si member :D:D