Tembea Kenya-Timboroa

Elephants spotted in Timboroa disturbing the peace of A104[ATTACH=full]249090[/ATTACH][ATTACH=full]249091[/ATTACH][ATTACH=full]249092[/ATTACH][ATTACH=full]249093[/ATTACH]

Source Twitter

Utakujua mama elephant Ni nani? Enda ushike tusks za mtoi. Ile mbio utapewa

2nd photo naona Omwafrika alitoroka akawacha nduthi.:D:D:D:D:D Africans will never be tourists.

The elephant herd is led by the oldest and largest female cow known as the matriarch. She is usually the one who was the most closely related to the previous matriarch. The rest of the herd is made up of the matriarch’s other daughters and their calves.

@Makonika uliacha Jincheng ukaingia kwa thicket? Diep

Ule mama hajaona hizo pembe

Tunajua hii yote meffi

Aliingia hapo kwa Calvert.

why do people wake up in bad moods/angry at the world?

Enda upike flamingo, njogu inni ghaseer

:D:D:D
Saitan.
Bado sijamaliza my life’s quota of WD40.

It’s quite unfortunate kuna witnesser hapo alipigwa risasi na @Tarantino na akaaga dunia.

Timboroa sio mbali sana, I came to learn

mbali from where? Everywhere is near somehere.

haiya kumbe @kitambimrefu you are a novice on the A104 from Nakuru onwards?

There’s a song sang during games in high school meetups where a song with the lyrics

Timboroooooa ni mbaaliii sanaaaa
Timboorooooa ni mbali sanaaa

Timborroooa, mboro
Timboroaaa, mboro

Timborooooa ni mbali sanaaa

As kids in school, you sing these songs as a sort of poetic licence to get away with being lewd in public.

So my comment itaeleweka na wale wanajua hii wimbo

:DI know more Vihiga than your Maragoli self ghasia

Utalii ni proper, I dare say, ni kuangalia from a SAFE distance and not to interfere with the beast’s life.

Timboroa is densely populated by farmers. Hizi ndovu zimetoka wapi na zinaenda wapi? I am sure the farmers are counting great loses.

The five Elephants are suspected to have escaped from Lake Nakuru National Park before crossing over to Baringo and eventually Uasin Gishu county.