Tembea Kenya

Detour to this wonderful county. Nani anajua huku[ATTACH=full]231501[/ATTACH][ATTACH=full]231502[/ATTACH][ATTACH=full]231503[/ATTACH]

Beautiful. Lots of land.

Voiyo mbona uko katikati ya barabara picha ya mwisho…ni wapi lakini…

Beautiful sana. Naona manyumba katikati ya miti

Give away. Was heading to the town on top of that hill[ATTACH=full]231512[/ATTACH]

Emali Loitoktok pic 1
towards imbirikani

Namanga.

Looks like Kajiado.

Were you heading to Wundanyi?

Taita taveta…Wundanyi

Mtomba ng’ombe, bado hujauza hio pickup ya white?

Yaani umewacha ng’ombe ukaenda kuzurura kwa barabara?

Correct. Nyinyi ni wenyeji huko kama @Kasighau ama? That place is as green as Kericho. The detour was worth it

umeenda huko kufanya?

is this towards Mwatate?

Old flame

Jes

Nilisomea chini ya huo mlima… That was the first sight we woke up to each morning tukitoka dorm kwenda kuchukua chai kwa aboo :smiley: (Taitas know what Aboo means)

Old boy Keniatta High. Looks like a serious school

chesa chini