Tembea Kenya

Wapi hapo?
[ATTACH=full]264656[/ATTACH]

Isiolo…

Hapa?

[ATTACH=full]264658[/ATTACH]

Hii photo ulipiga ukiwa Moti plaza…spent a whole week there attending community trainings

Uko Moti Plaza? Karibu lunch Bomen…
[ATTACH=full]264660[/ATTACH]

Wazi

Naona uko Magadi.

Good one! Wanaume mmetembea.

This one?

[ATTACH=full]264686[/ATTACH]

[ATTACH=full]264688[/ATTACH]
Mtu akijua hapa ni wapi namshikia drinks weekend mzima

Topography inakaa Suswa.