Tembea Kenya

I love the smell of the soil.
[ATTACH=full]125271[/ATTACH] [ATTACH=full]125272[/ATTACH] [ATTACH=full]125273[/ATTACH] [ATTACH=full]125274[/ATTACH] [ATTACH=full]125275[/ATTACH]
order zicome kucome sasa

15 Likes

That sure is not a beginner’s hand.

kazi poa

1 Like

Huyo ni @pseudonym kwa picha ya kwanza. And hapa ni coast hio nyasi kwa hizi kalonzos hapakosi nyoka.

2 Likes

Swaf sana. Naona clawmatsu akitokelesea mahali hehe

2 Likes

Wueeeh! Mimi niko Mlolongo kwa toll steshen.Mambo ya Shamba sigwes!

7 Likes

Haiyah!!! Goonerette, i thought the big machine ni ya kupeleka na kubeba farm produce?

Ahahaha…nope. That is a status symbol nikitembelea birrionaires huko Karen na huko siaya county.
Ka pick up ka shambani hakakunywi mafuta mob.

2 Likes

Meria Mata, nitafutie market ya watermelons

1 Like

Hapo kwa watermelon ni wapi? Can watermelon do well in an area withhigh rainfall?

No

1 Like