Terrible Jam On The A109

After an accident between Voi and Mtito, Jam stretches for miles both sides
[ATTACH=full]214245[/ATTACH]
[ATTACH=full]214246[/ATTACH]
watu wamelala msituni na saa hii bado wako hapo. hii shida huletwa na watu wa ku overlap

[ATTACH=full]214249[/ATTACH]
all engines off from 2am.
@shikoti mtu nguyas uko wapi bro? njoo unwe chai na chapo za @Mutheu

wale wa katafunua wanakwama kwa matope
[ATTACH=full]214251[/ATTACH]
serves them right

This mess is of epic
[ATTACH=full]214252[/ATTACH]
[ATTACH=full]214253[/ATTACH]
[ATTACH=full]214254[/ATTACH]

130kg of pure muscle to the rescue, amesema watu wakae kando atavuta peke yake
[ATTACH=full]214256[/ATTACH]

Waaaaaah …why do pple overspeed sasa ona

truck zile zimepiga groundie ni kaa saba hivi
[ATTACH=full]214257[/ATTACH]

its not overspeeding, its lack of discipline and rd etiquette, kama wasinge overlap the jam would have been long over, 7hrs and counting.

7 hrs mbona sasa? kwani hizo gari ziligongana hazijatolewa kwa scene ama

I cant imagine how pissed off those drivers must be. Unakaa one spot kwa barabara 7 hours! Sad.

hawa watu wa basi kampuni moja hawaezi exchange abiria? saves time…

see this statement from @pamba
Police request all drivers to stop in Mtito Andei from Nairobi side and at Voi from Mombasa side so that can clear the accident site

not possible
1, ziko na mzigo
2, they are far apart, pax would have to walk like 4kms
3, barabara imefungika proper, hio gari facing 001 haitapata mahali pa kupiga U-turn

A8 bro, not A109. It was renamed. And poleni kwa mkasa. Hata pale Mombasa Cement issa problem. Trailer zimegongana tatu. Seems like it’ll be a long day on this road today. Sina mbisha, it was raining heavily

Chaos, Chaos, Chaos, kila saa huna mbisha, isaright, sawa tu. what happened to the supadip lens we gave you on your 26th birthday?

Hapo kwa soot umetumix.

labda mizigo…but kitambo jamaa apige overlap kwa kichaka hapo kuna space ya u-turn kitambo akwame kwa matope.
4km abiria wanaeza vumilia kiasi…one hour walk to save sitting 4hours

i reserve my comment (ilikua matusimbaya saidi)

:D:D:D:D leta tu… kuna baridi, naeza jifunika nayo.

SGR is on schedule 15 cargo trains a day. Let’s await Nov and Dec numbers.