TETESI:INASEMEKANA BODYGUARD WA DIAMOND PLATNUMZ MWARABU FIGHTER KATIMULIWA WCB

Inasemekana lakini

Baada ya ile Scandal ya Mwarabu Fighter kujihusisha kimapenzi na mchumba wa Harmonize Tz, Mzungu anayeitwa Sarah

Habari za chini chini inasemekana kuwa ni kweli mwarabu Fighter alikuwa akimmendea mwanamke wa Harmonize , Sarah tz kitu bacho kiliwauzi mabosi wake na kuamua kumtimua kimya kimya

Na ndio maana hata ajali aliyopata juzi Mwarabu fighter na kuumia vibaya member wengi wa WCB kuanzia Diamond platnumz na Harmonize tz hakuna aliyempa pole hata kwenda kumuona hospitalini alipolazwa

Sawa

Kwahiyo sasa hivi CEO hana ulinzi?

Watamkaba

Alipe deni

Sasa hivi mlinzi ni Dudu Baya.

Mambo yao waachie wenyewe…

Cc: @Mahondaw

Naona leo umewaamulia WCB mara Mavoko katengwa mara mwarabu katimuliwa
Haya sasa kachukue wewe nafasi yake

wasanii bana…

Hii ndio bongo flavour

mi nmesikia anataka kutoa wimbo so hi ni kiki tu…

Mwarabu ana mke. Labda kama sarah ndo alitaka onja tamu ya mwarabu

Hmm!..

Anatimuliwa gavana wa bank kuu,katibu mkuu wizara ya fedha. sembuse mwarabu fighter yy nani bana

Hapo sasa! Watajijua wenyewe huko.

Eti bodyguard wa Diamond. Waafrika ni wehu sana

[FONT=courier new]Nadhani sasa ipo haja ya Kuelimishwa upya juu ya jina na hadhi ya neno ’ Bodyguard ’ kwani naona kama vile kwa huku Tanzania linatumika ndivyo sivyo halafu linadhalilishwa na kudhihakiwa sana na Waswahili.[/FONT]

BODIGADI WA DIAMOND KANUSURIKA KUFA KWA AJALI YA BODABODA ILIYOTOKEA AFRICANA MBEZI,KWA SASA ANAUGUZA MSHONO KICHWANI,AMESHONYWA NYUZI ZAIDI YA 16.

Hyo ajali kapata siku nyingi mbona

Siku nyingi? hata wiki haijapita mkuu ndio siku nyingi?

Sana mkuu