Baada ya ile Scandal ya Mwarabu Fighter kujihusisha kimapenzi na mchumba wa Harmonize Tz, Mzungu anayeitwa Sarah
Habari za chini chini inasemekana kuwa ni kweli mwarabu Fighter alikuwa akimmendea mwanamke wa Harmonize , Sarah tz kitu bacho kiliwauzi mabosi wake na kuamua kumtimua kimya kimya
Na ndio maana hata ajali aliyopata juzi Mwarabu fighter na kuumia vibaya member wengi wa WCB kuanzia Diamond platnumz na Harmonize tz hakuna aliyempa pole hata kwenda kumuona hospitalini alipolazwa
[FONT=courier new]Nadhani sasa ipo haja ya Kuelimishwa upya juu ya jina na hadhi ya neno ’ Bodyguard ’ kwani naona kama vile kwa huku Tanzania linatumika ndivyo sivyo halafu linadhalilishwa na kudhihakiwa sana na Waswahili.[/FONT]