Tetesi:inasemekana wema kafanyiwa opareshen ya kukatwa utumbo mkubwa

Wema amekatwa utumbo jomoni… So karibuni atarudi kuwa kembambaa… Wamemkatia India huko…wamemfanyia kila kitu bure ili awatangaze sasa sijui atakeep her end of the contract maana hachelewi kusema kafanya diet ‍♀️. . . Anavyopenda kula sasa, juzi asibugie msosi nini?? Acha atapike!! Alijuta. Ile operesheni huwezi kula hata ukitamani sababu sasa hivi ana utumbo mdogo kama wa mtoto mchanga akila tu anatapika

Source mmh

Dada Mange Kasemaje kuhusu hili?

Hmm!..

Mi naona wangemuongezea na ubongo uwe mkubwa ili apate akili.

Hahaa shoo hii habari ulivyoileta sasa

Sasa wanampunguza na lile kalio lake ama??

Hiyo ripoti ni kutoka kwa mange

Anasemaje kuhusu JF?

Uzuri ni kuzurika…

Cc: @Mahondaw

hakuna Kapicha smart??

Ndo msambaza huu ubuyu

Ule mtaji ataishije mujini bila msabwax jomoni

Wema sepetu aka Ajuza

Afanye na operation ya kuongeza akili pia

Ghafla nimemmiss warumi

namtaka wema, nampata wapi jamaniii? hakuna dalali humu?

Hivi wakikata utumbo ndio inakuwaje sasa? Yaani chakula kinatoka mdomoni direct kinaenda tumboni? kama sio what is logic ya kukata utumbo?

Anakua anakula chakula kidogo sana na kushiba. Kama ulikua unakula kilo moja utajikuta unakula robo tu

Ila ni Risk sana,huyu Wema kwanini asitulie tu.

Maskini wema. Akili hana.

Bado anajiona mtoto ,binti mbichiii