Tetesi:Ubungo panajengwa daraja sio interchange kama ilivyokuwa plan ya kwanza.

Sababu za msingi ni Dikteta Magufuli na genge lake la mauaji na kubomoa nyumba za Raia bila fidia.
Anaejua ukweli adadavue hili swala.

Wakuu hakuna mwenye kufahamu kuhusu hili.

Zinasalia kuwa tetesi

Halitasaidia Kupunguza Ile Foleni Pale Amini Nakuambia

Sasa mkuu si wewe mwenyewe umetoa sababu? Sasa unatuuliza tena? Wengine SHILAWADU hatuwezagi!

ninavyomjua jiwe napenda kutumia nguvu, kutumia akili kwake ni kama anasa

daraja tutajenga makao makuu huku tyr mnamaendeleo.

Hahahah!! Daraja tena?

Kitakua kichekesho sasa hichi

Ile foleni ya pale hakuna cha kuizuia

Tetesi…

Soma hiyo habari. Ni jambo liripotiwa serikali ikalikanusha. Tusubiri tuone itakuwaje.[ATTACH=full]180239[/ATTACH]

wenye hela wamekataa nazo??? wacha tuone…

Wa dar subirini Kwanza na huku chato wapate mafly over

Ngoja tuone

Penye ukweli uongo utajitenga…

Cc: @Mahondaw

Alaa…kumbe ndo maana aligutuka hakutaka jina lake ibaki na aibu…akabambikwa mhehe…!!! !!!

Ngoja tusubiri