TETESI: Waasi Rwanda wako km 30 kutoka Kigali

Nasikia waasi Rwanda wako km 30 kutoka Kigali. Mwenye taarifa kamili atujuze. Nimesoma kwenye group ya UDF

Hizi tetesi Naomba ziwe kweli aisee

Ni lazima wapate support ya wananchi, maana watu wamechoka kufa na tai shingoni.

Siyo habari nzuri kwa jiwe.

Ngoja tuone…

Cc: @Mahondaw

Kama ni kweli, ni habari njema kwa dikteka kimbaombao!!!

Mungu ibariki habari hii iwe kweli

Ukimkamata DIctator kimbaombao huyu pogba hapa hapumui tena. Habari iwe kweli!!

Wakimtoe huyo dikteta nitakuwa na furaha sana

Tuombe Mungu iwe hivyo

Jamaa anatokwa povu zito sana mamaye. Wakimkamata huyu itakuwa bomba sana.

http://www.thecitizen.co.tz/News/Kagame-warns-against-insurgency-in-Rwanda/1840340-4672606-xmv6lo/index.html

kagame hachomoki round hii

Eh Mwenyezi Mungu wasaidie wampasue huyu fidodido

Abakwe tuu mshenzi yule. Mamaeeee

Mamaeee zake

Jiwe akijidai kutoa hifadhi kwa huyo ngongoti waje watuchape na huku kwetu!

mbona msiombee huyo magufool wenu vibaya mwachane na mzito kagame?

Mkuu huyu sio wakamate tu, wakamate wamalize kabisa kama vile Samuel Doe.

Halafu mbona habari za jamaa ziko limited sana?.hako ka pk siku wakikafurusha jiwe atajitafakari

Shost anapigika