Tetesi: Wizi mkubwa wa madini ya Tanzanite

[MEDIA=instagram]BkcqezQBaam[/MEDIA]

Vipi ule ukuta wa jiwe umeshindwa kuzuia waibaji wasikwapue madini yetu?

Ukuta uliopo vichwani mwa watu ndiyo usiofanikisha masuala!

Ukuta wa fikra ungefaa zaidi…

Ataenda kulinda mwenyewe pindi hizi habari zikimfikia

[FONT=courier new]Mlinzi wa Ukoo wa hayo ’ Madini ’ Hassan Ngoma na Baba yake wa hiari wa Feri wana taarifa?[/FONT]

hahaha

Si ajabu mwizi ni yeye mwenyewe, kumbuka wizi wa 1.5 trillions Mkuu ambao amegoma kuteua Tume huru kwa kuhofia kuumbuka na wizi wake.

Nimemmiss Mange

Kuna mtu alisema huu ujenzi wa ukuta ndio utaongeza wizi kuliko kupunguza.

Kadri unavyozidi kulinda kitu ndivyo watu wanavyobuni njia mpya ya kukuibia.

Huo wizi tunaweza uita kuwa ni “inside job”

Kama tulijengewa ukuta na tukaaminishwa kuwa sasa wizi hautakuwepo tena…

Na sasa wizi mkubwa umetokea…

Unadhani ni nani atakuwa suspect number one??

Obvious ni yule aliyetuaminisha kuwa wizi hautatokea tena…

mmh huo wizi umetokea lin sababu juzi tena nimeona uzi kama huu… afu mbona wako kimya

3 day ago

Kweli siyo kweli?

!
!
Aisee Yaani Pamoja Na Ukuta Bado Tu Watu Wanafanya Yao? Loh

Kupiga kimya ndiyo jadi yao kumbuka 1.5 trillions unadhani kwanini dikteta hataki kuunda Tume huru? Ni kuendeleza kupiga ukimya ili wizi wake usianikwe hadharani.

na anajua akisema wizi umetokea lzm ataaibika coz alishaaminisha wananchi kuwa ukuta ndo suluhisho la wizi… lets wait n watch

Jiwe atapasuka kichwa akili ni bora kuliko nguvu

Akili ni akili. Ataingia kwenye mashimo mwenyewe au vijana wake wa Lumumba wakiongozwa na mwana mathematition watasaidia kuokoa jahazi la kuchimba.

Hivi yuko likizo au miradi ya kuzindua imeisha au hela ya kununua watumwa imeisha. Ataleta wachimbaji kutoka nje za nchi.

Ile hela trillion 1.5 ndiyo iliyokuwa inanunuwa madiwani na wabunge…

Baada ya kuona mmestukia ukwapuaji wake, imebidi awe mpole