Wadau jana nilimwaga chai nusu kikombe kwa laptop ikazima tu hivo nikajua baas, budget ya krismass imeharibika. Nikaitoanisha polepole nikapata motherboard inaenjoy chai huko ndani sawasawa. Nikaiwipe,na keyboard na kila kitu nikaweka separate, nikaziweka zikalala kwa mchele.
Asubuhi kuaruka, nikaunganisha kila kitu ni kama niko sure itafanya mpaka ikarudi vile ilikuwa ndio nikawasha, now am back,na buttons zote za keyboard are working ni space tu iko ngumu kidogo, maybe kamchele kamekwamwa ndani bado.