The best phone between 12,000 to 13,999

Soprano

Village Elder
#15
Sasa hapa ndio naona akili yangu ndogo kuliko za wengine inafanya kazi vizuri sana kuliko za wengine. Unaskia wewe fala @lescumburg?
14K unapata flagship ya 2016 smart sana. Kama mimi tu.
Lakini hizo suggestions naona hapo juu!

Refurbished HuaWei Mate 9 4G LTE 4GB+32GB 5.9" Android 7.0 20.0MP NFC HuaWei mate9 smartphone silver. Amazing product,try it out! https://m.kilimall.co.ke/goods/7915038?sa=store
 
D

Deorro

Guest
#16

2016 device in 2019, what are you smoking? only do this if you are a techie who can flash roms. otherwise achana nayo.

2019 midrangers are way better in lots of ways. Bigger batter being one of them, 4GB ram is standard these days meaning a smother OS experienceplus many more improvements.

Just buy a newer device.
 
Soprano

Village Elder
#17

Na mimi deoro siwezi kununua hizi takataka ziko around na pesa yangu 14K. NEVER!
ATI INFINIX , sijui tecno…
A smart-phone like samsung galaxy note 5 iko na shida gani? Lg v20? Huawei mate Huawei Mate 9 /mate 8? Hizi zote ni gadgets zinazopatikana at between 10 and 20K.
 
Zee

Village Elder
#19

hata kama ni flagahip unataka on the cheap buying a 2015 phone hapana
 
Top