Ata huku mashinani kuna landlords wameanza kuitisha rent tu bila deposit from new tenants. Wengine wanaeka amount ya rent kwa “to let” posters, something that was unheard of a few years ago. Tao pia nikipiga malap napata exhibitions zimeandikwa “to let, no goodwill. Call owner on 07…”.
mashamba ziko ‘cowndy’ sasa…
Io Rosslyn riviera si ya ule gethi wa nys sn 1
vision plaza is shit! literally…
peasant delusions
The bubble is not bursting anytime soon.
hii ni motivation quote
We don’t have a serious debt on private sector. It will be a hardly noticeable slow down and then another acceleration. Our system isn’t heavily mortgage based like USA. Check out mortgage uptake in Kenya.
ni ukweli,hata hapa kwa subcounty, pigsties wanahama kuhama na wale wanabaki ni kusumbuana tu
kwani wanaenda wapi wakihama?
Endeleeni kudanganyana stakeholders wa construction industry. Huku manyumba zingine ziko na 60% occupancy na zingine bado zinajengwa. Hao kina Rosslyn wanapeana discount juu wanapenda customers wao sana?
kwa zile nyumba mpya mpya
sasa wewe itabidi ushukishe bei.
hakuna bubble inaburst when some buildings in upperhill are turning away potential tenants due to high demand
na hao wenye hizo mpya washukishe pia
Nimeona watu wakihama sana. wa wanahama na madharau sana wanarusha vitu kutoka floor 7 hadi chini. african foreigners that is but some locals too. Ni nyumba zinajengwa kwingine poa sana ama ni pesa ya rent hakuna?
si wenye wanahama wamejiona “speshol” ? watalipa tu
hapa utachia sisi malandlord tuongee
nyumba ndio mingi,kuna wakati tulikuwa tunawashow nyumba ni kama KBS wakitaka kushuka washuke mwingine aingie lakini sasa ni kuongea mzuri