THE CHEF

while studying for my higher education certificate within nairobi,i used to live in a bedsitter within pangani.i had a good neighbor,who used to work in cbd.this dude alikuwa anajifanya mjuaji sana.some times we used to share meals as in we cook in my house and divide the food into two portion.so one wkend i went to ocha n came back with a life hen n some rice n bananas.sunday ilipofika i asked my neighbor kama anajua kupika kuku n he replied yes claiming he was a master chef.mimi nikawa na tushughuli nikamshow a prepare the kuku ndio tule dinner.kutoka shughuli zangu za kujenga nchi i passed my local pub n drunk 4 beer with buddy freddy who was my neighbor in the next plot to ours.after kumalizia our beer nikamshow freddy situpitie mtaani to have supper ya kuku na sima.freddy kusikia ni kuku fry akachangamka na kusema lazima tupitie home.
kufika mtaani napata neighbor asha pika kuku na amekula some pieces.me nikachukua plate na kujiserve pamoja na freddy.freddy akanishow kama shimondo(gizzards) iko nimserve since anailike sana.kuende kuserve napata the chef hakuikata na kutoa na raw material in it,jamaa instead alifry hivyo hivyo.nilipobite the wings pia nasikia ziko bitter kuuliza chef kama alitoa bile kwa liver?jamaa akasema yenye hakuona any…me na freddy tulicheka sana asking ourselve huyu ni mshamba wa wapi??iyo supper ya kuku tusilahau na ikabidi tununue maziwa mala tule na sima…

U

M

Mbona umesahau kutaja ile sehemu mlienda na kunguru?

Wacha kuonea washamba hakuna yule hajui kuchinja kuku. Pengine wajiji kama rafiki yako ndiye hajui.

U

M

A

kuna born tao wengi hunua kuku take away frm supamarket or hotel

my crib

yani aliharibu kitoweo kienyeji hivyo tu

:smiley: eti mkacheka. Mimi mtu hawezi niharibia kitoweo.

Eeh. Ama hiyo ni hekaya ya siku nyingine?