The curious case of a team called Wolves

Kuna kateam kengine kanaitwa wolves kakicheza na wanyonge wenzake kananyoroshwa…
Lakini wacha ifikie team kubwa kanangangana ni kama ako pia Kako top five usually either draw or win…
Watu wa Chelsea wanakatambua, they were the latest victims
Naona leo kwa lineup, muhindi ananukisha kitunguu

Ogopa relegation bound teams season ikienda kukatika…they play like never before. Unajiuliza where were u the whole season? Unaona ako ka Fulham vile kanacharazwa na mateam…wait and see wakichangamka. Kuna team inaitwa Reading saizi wako League 2…kuna time walikuwa wanatesa big boys pale EPL

Boss, Reading wako Championship na bado wako unpredictable

ingine ilikuwa Wigan

The players are playing for their wages at that time. If they get relegated wanapoteza pesa nyingi na hiyo time msee ako na loans za nyumba, car etc. They literally playing to secure their financial well being.

Sunderland game za mwisho ilikuanga noma sana pia

Pia Middlesbrough kuna enzi kalikua kana pea big Four dawa pale Riverside stadium.

i hope Leeds United will come back. It was a good club back in the day.

Leeds once reached the Champions League semifinal back in the day under their mercurial striker Alan Smith and ironically got relegated from the EPL the following season.

They had good players like rio Ferdinand, Viduka, Robbie Keane, Woodgate etc.