The day i missed panga by inches.

Ushawahi kaa chini ukajiuliza ulikosea wapi ndio sir God anakupunish!!!
Kama sijakosea ilikua 2009 nilipomaliza primary school huko texas(isiolo) hivi kisha nikajikuta kwa stepmum. Buda ilibidi anirudishe nai baada ya kudivorce matha wangu. Sasa huyu stepmum alikua mkali sana manze, akikucheki unafeel tu kijikunyia. Alikua na sura ngumu akismile bado unathani she is frawning. Basi day moja i escape being chopped off my head with a panga. Nilitokea side za isich hivo majioni nikafika rongai kitu saa nne usiku. Si wajua jam ya ronga. Basi huyu evil, cruel and pathetic stepmum akakataa kunifungulia mlango na mabeo wangu wadogo, azin watoi wake nae wanamwogopa niaje. Hawakuweza kunifungulia. Ikabidi nipige moyo konde na kuenda kudoz kwa neiba. I was very happy kukaribishwa na asha, dem wa neighbour (huyu nayo alikua beshte ya kwangu design nyingine usitake jua)…hekaya ni siku nyingine…sasa ju maparo wake hawakua area ikabidi nimedoz kwa kwao. Nilikua na ubao mbaya Asha akanipa bread na kunipikia chai hapo…kidogo kidogo mastory akanishow nidoz kwa room yake ju ilikua na bed mbili. Nikaona hii ni ngori, na githi nyaku inaeza panda anytime na balaa ni kuwa mzinga haiwezi kujizuia so ikabidi nimedoz kwa guest room…asubuhi nikaamuka kuchungulia kwa home yetu huyo nikamwona sheto( step mum) akitoka jikoni huyo nikamshow Asha usipike acha niende kutafta breakfast home…
Nikaingia jikoni nikaona kamepika mayai, nyama na cake amepack anataka kupeleka kwa watoi wake. Kumbe alienda kuchukua kitambaa ya mkono. huyo nikagrab nilipokua nataka kutoka nikaskia nimewekelewa rungu ya mgongo. Nilishtuka design nyingine hapo nikapiga kelele nyingine ghafla akagrab panga akaswing na kuniaim kwa kichwa. Nilimiss na kutoka mbio. It missed me by inches. Nilitoka njaa na sikurudi mpaka buda alipokuja 4 days after i missed panga.

Sasa vile buda alikam kuliendaje?

Another day hekaya…i almost killed her…

maliza hekaya chieth!!

Sheng ni takataka language.
I’ll give a like for writing.

Ndugu hapa nayo umenyonga Osungu

Sasa vile umekuwa mtu mzima what action have you taken? I know about mother-in-laws and their evilness.

Take heart mblo

@pseudonym njoo usome hekaya ya Texas

Hii ni noma.

masoness sio mother in law ni stepmother ,yaani mama kambo

sio kwa ubaya kwani hii kuma ya pseudonym iko na mileage kama zile fiat za wariah?

Hizi hekaya nusu ni kama kukula dame ukikaribia kumwaga anakuchomoa akakojoe

Nugu

Angusha hekaya!

^2

hizo ndio gani?

Wah manze iza some step moms can be very cruel. Me nikiwa mdogo my older siz took me to visit her friend whom I suspect was a step child. Tunafika tu keja the woman alikuwa in an outdoor kitchen. For reasons still not known to me to date alimtupia knife like really maliciously. Nilishtuka sana somehow became very appreciative to have my mom with me.

Had a buddy was a step child but he didn’t know…zile za dame anazaa anapeleka kwa nyumba ya mzee na kumwacha. Zile vituko alionyeshwa na huyo mama. Alimaliza high school the step mum broke the news na akamwambia ahame asubuhi.

niaje mum?