The Day l was Slapped by Dennies oliech

#1
Wacha niwapatiye heka vile nilichapwa slap na oliech ule superstar wa harambee stars...

Ilikuwa ivi,Fishborn entertainment ilikuwa imeleta wasani wa jamaica called RDX .wale famous na song Bend over ..

Sasa they were to perform in mombasa and nairobi, na vile nilijuwa uko mizoga zitakuwa zinamwagika nikasema lazima nitafika uko..
Entrance ilikuwa 1k na venue ilikuwa pale pirates..

Uyo sparta na crew tukachapaa makali then tukachukuwa viceroy ya kuchapaa uko kwa beach tukichill show ianze tuingiye...

Sasa the crowd outside ilikuwa wengi kuliko wale wako ndani, sparta after kuvuta weed zake nikaenda kubonga na mastudent walikuwa over 50 wanachangaa kuingia kila mtu thao so 50k ndio wanafaa kulipa, nikaenda nikabonga nawao,l bargin on theri behalf tukatiwe iyo 1k, tulipe atleast 600 per head...


Sparta nikafight crowd hadi apo kwa tickets nikasema natakaa kuongea na mkubwa....jamaa akakuja apo akadai sema kijana

Nikamshow tuko students over 50 na tunatakaa kuingia na 600 per person...jamaa aka delibarate akanishow 700 per person kama muko over 50...

Nikaenda kwa maboys nikawashow wamedai 700ksh..

Maboys wakachangamuka ....lakini boy wangu akachocha hawa wasee ata punch wanaweza kutulipisha...maboy wakasemaa eeeeh tulipe punch bana..:)

Uyo sparta nikarudi kwa gate nikadai tuko over 100 students na tunatoa punch..

Apo ndio jamaa alituma mwenye fishborn Ent akakuja Oliech akakuja....nikafunguliwa nikaingia ..

Nikamgotea nikamueleza vile vijana wanadai....tuko vijana soo moja tulipe punch punch...

Oliech was very calm aki stammer apo....akadai wewe wapangee line hao students and count them .....na vijana waka anza kupangaa line...

Mimi nikatoka nje na vijana wakapangaa line ndefu sana..


Sasa apa ndio tuliblunder after watu kuona tumepunguziwa...vijana wakatujoin we were over 200 vijana na madame ...

Tukajichocha watu ni wengi sana hatuwezi lipa punch so ni soo tatu tatu.... Naye sparta na ulevi yangu nikarudi kwa gate na kwa oliech

Nikamshow tunalipa soo tatu buda... Uyo jamaa aliniwai slap kama ya kidero nikaona giza bana.. l forgot where l was for a few second... Oliech akadai unadhani tuko apa mchezo ....

Apo sparta naye nikaenda kumuekelea ngumi.. haikushika vizuri juu ilimchapa kwa upper arm l was aiming for the jaw..

Apo ndio all hell broke loss...ma bouncer wakanirukia na mangumi...naye oliech akakuja kuniongeza ngumi kama wamenichukuwa juu nikarusha teke ikampataa kwa uso... Uko nje nao vijana wakaskuma gate na kucause a stamped ...apo naskia tu damu inatoka kwa mdomo tu...

Vijana finally wakaweza kiingia ndani....nami nikapelekwa kwa office....vijana kuona napelekwa ikachacha mawe na chupa zika tembea ....apo ndio the two policemen wakafyetuwa risasi juu crowd ika toroka na music ikazimwa....sparta naye nikajuwa apa ni chance yangu kuhepa...nikachomoka towards pande ya choo ...nikaenda nimepanda wall ya urinal and over the wall...in the process lost my fone...

Nikazunguka nikapataa crowd bado inachochana irudi ikatupe mawe... Apo maboy kuniona nikachukuliwa juu kama vile mtoi hupita kcpe.....
 

Top