Nakumbuka oliech akiwa fala mtaani mpaka alikuwa anawekwa bench Na jamaa alikuwa wanaitwa Rodgi wa majengo. Saw Rodgi last weekend as I went for a meal at Mpambe California, he lost some teeth and his face must have been battered in a few bar brawls.
Sparta story zako Huwa swafi kabisa.