The Day l was Slapped by Dennies oliech

WuTang

Village Chief
#45
Nakumbuka oliech akiwa fala mtaani mpaka alikuwa anawekwa bench Na jamaa alikuwa wanaitwa Rodgi wa majengo. Saw Rodgi last weekend as I went for a meal at Mpambe California, he lost some teeth and his face must have been battered in a few bar brawls.
Sparta story zako Huwa swafi kabisa.
Wasee wengi talented kwa ball wamejiwaste sana. Wengi wako Kamiti and jug daniels dens.
 

WuTang

Village Chief
#48
It's a sad situation, the sports fraternity should do something about the wasted talents
Kuna vijana footballers wengi sana wa Huruma, Kariobangi and Dandora who have been killed. Hata mwengine namjua alichezea Harambee Stars under 23, the guy siku hizi huokotwa kwa mtaro hapo Juja rd. rounder.
 
Top