The End Game Begins.....................

#1
Naona kule Mombasa demos zimekataa kushika nare. Nairobi CBD things are ok. Kule Kisii pia sime-fizzle kama kandoo.

Eldie, Narok, Garissa, Nyeri, Malindi, Kajiado, Naivasha, Nakuru, Loki, Mandera, Isiolo, Nyahururu, Kitale, Mayakos etc etc hata hakuna any. Ma-Tshats tuu za Jubilee!

Sasa option mbili za babu ni ku-block watu ku-vote ama kwenda kwa ile koti ya wakora. We in Jubilee are working on both, which is why, among others, Uhuru will only sign the newly passed laws on the eve of the election.

The end game has begun. Pole kwa waliokula risasi na rungu bure...........................
 
0

0%_Omera

Guest
#5
Sasa option mbili za babu ni ku-block watu ku-vote ama kwenda kwa ile koti ya wakora.
He will block people in Luo Nyanza, then go to court to deligitimize elections
N.
L tv b
G
I
 

Top