The F@&K....

This jamaa is plain stupid, asijiite mwanaume tena…

[MEDIA=facebook]10203349328589986[/MEDIA]

oldie

HAHAHAH huyu jamaa ni fala sana

lakini iyo para ya kuscream na kushout ilimuokolea kiplani

stupid man, am I the only one that was staring at the thighs all along?

3 Likes

Highschooler = Mauki Family

I have been watching yr sheng here,wewe si m2 mzuri

1 Like

Nimeiona leo…huyu jamaa ni ovyo sana, inakaa hafanyi kazi mzuri otherwise ata ukiplay masiz naunawapea D vizuri hawaezi shika moto hii design…

Tuliza moto kijana…

hahahaha… jamaa hataki kusemwa kwa wife. hawezi zusha. Anayway if it were me i would have denied everything and even threatened to beat them up alafu natoka naenda kwa wife. Later I still drae frae her friend. After all she is a woman and as long as you have communication she will break.

haha ati mimi ni wa Mauki!!!.. shida ni sheng kwani mauki wako na sheng yao na watu wengine wako na ingine??

:smiley: :smiley: kweli kweli

Ni mimi peke yangu sioni vida?

click on the photo, hata mimi nilikua nadhani ni picha

MI NATOKA MBIO FIAM

kwani mapoko wa kibra hucheza golf?

tuko wengi…hata picha sioni

tumia browser strong wachana na opera

Hizo ma thigh

suggestions…

Hio video haionyeshi I’m using chrome,let me try Dolphin or Firefox.

Am using Chrome

just the common ones chrome au mozilla

already using chrome…lemmi check it out with mozilla.Thanks