The fall of Kenya Mpya buses .. where did they mess up this bad

Hapo siwezi bishana. Hakuna chapati soft kama hio. Only problem is sahani inaoshwa na maji ya bara bara ama maji ya mtaro ya drainage.
Unafikiria utam wa hio chapo hutoka wapi?


will she pay rent or buy clean water for cooking for your stingy ass?
Ananunua maji kwa ile mtungi wa yellow


You have no problem blowing 5K on alcohol at whiskey river
Hawa walifunga lakini mama pima is still going strong


Zile mapanya zinakuanga hio pahali huko nyuma? Bubonic
 
Mimi mzae wangu hakuwa anaentertain hizo ghaseer za Jehova Witness. Walikua wanaingia kwa compound wanampata ametulia kwa kivuli wanaanza hio ujinga yao. Alikua tu anasema "nawapea dakika moja mkue mumetoka hapa," na anarudi kusoma gazeti. Wakiangalia uso yake wanaona sio idle threat, wanatoka quick fast.
Mimi kama kuna kitu I don't tolerate in my premises, especially business premises ni beggars... all types of beggars. Go seat on the side of the road. Yaani unafungua duka ujaribu kugrow limit ya hustler fund unapata beggars ni wengi kuliko customers. Shenzi takataka enda mpange laini kwa makanisa na ofisi za politicians.
 
Top